WANANCHI WATAKIWA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

WANANCHI WATAKIWA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Like
195
0
Tuesday, 14 April 2015
Local News

MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Simiyu,Dokta TITUS KAMANI,amewataka wananchi wote wenye sifa za kupiga kura,kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Wapigakura.

Ameeleza kuwa,wakati utakapofika wajitokeza kupata haki ya kuchagua Kiongozi wanayemtaka katika Uchaguzi Mkuu ujao wa OCTOBA mwaka huu.

Dokta KAMANI ambaye Pia ni Mbunge wa Busega na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,amewaomba wananchi ambao watajiandikisha kwenye daftari hilo kuvitunza vizuri vitambulisho vyao.

Comments are closed.