WANANCHI WATAKIWA KUWA NA UTARATIBU WA KUSAFISHA MITAA

WANANCHI WATAKIWA KUWA NA UTARATIBU WA KUSAFISHA MITAA

Like
336
0
Friday, 02 January 2015
Local News

MWENYEKITI wa Mtaa wa Kimara Baruti Jijini Dar es salaam kupitia Tiketi ya Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo- CHADEMA FLOMENCE KINYONGA amewataka wananchi wa Mtaa huo kuwa na Utaratibu wa kusafisha Mitaa kila ifikapo mwisho wa Mwezi.

Akizungumza na EFM amesema kuwa ili kutimiza ahadi walizojiwekea katika kujiletea Maendeleo wananchi hao hawana budi kushirikiana na Viongozi wa Mtaa huo katika kusafisha mitaa ikiwa ni pamoja na kuzibua mitaro ambayo imejaa Michanga na Maji hasa katika kipindi cha Mvua.

Comments are closed.