WANANCHI ZANZIBAR WAMETAKIWA KUFUATA TARATIBU ZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

WANANCHI ZANZIBAR WAMETAKIWA KUFUATA TARATIBU ZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Like
262
0
Friday, 14 August 2015
Local News

WANANCHI Visiwani Zanzibar wametakiwa kufuata utaratibu wa kukata miti, ili kuepukana na uharibifu wa mazingira.

 

Mkuu wa wilaya ya Magharibi ‘B’ Unguja  Ayoub Muhammed amesema wilaya ya Magharibi imekuwa na kasi ya kukatwa miti kiholela hali ambayo inachangia uharibifu wa mazingira.

 

Amefahamisha kuwa baadhi ya wananchi wamekuwa na visingizio vya kuwa wajasiriamali na kwamba wanalazimika kukata miti jambo ambalo ni kinyume na utaratibu.

Comments are closed.