WANAOMUIGA VYBZ KARTEL WAANDAMWA MITAONI

WANAOMUIGA VYBZ KARTEL WAANDAMWA MITAONI

Like
691
0
Wednesday, 12 November 2014
Entertanment

Richa ya kuwa gerezani lakini Vybz Kartel bado

Ameendelea kumake head lines kwenye tasnia ya dancehall,

Jina la nyota huyo wa muziki wa dancehall limekuwa likitajwa siku hadi siku kufuatia watu mbalimbali na mastar ambao ni wadau wa dancehall kutengeneza muonekano kama wa Vybz kartel

Gage amekuwa ni dj mpya kutengeneza muonekano wake kuwa kama wa vibz kartel hivi karibuni Gage ameandamwa vya kutosha na mashabiki kupitia mitandao ya kijamii mara baada kuanza kuapload picha zake akiwa na muonekano wa vibz kartel kupitia akaunti yake ya instagram

Msemaji wa Gage amedai gage alikwenda kunyoa kuleta muonekano mpya na sikama ilivyotafsiliwa kwa kawaida wasanii hubadilisha muonekano wao na ndivyo alivyofanya Gage

Mbali na huyo Alkaline pia anaandamwa kwa kufanya hivyo pia

Gage

Gge miezi michache iliyopita

Comments are closed.