WANAWAKE NCHINI WAMETAKIWA KUACHA TABIA YA KUWA TEGEMEZI

WANAWAKE NCHINI WAMETAKIWA KUACHA TABIA YA KUWA TEGEMEZI

Like
355
0
Monday, 04 April 2016
Local News

WANAWAKE nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuwa tegemezi na badala yake wajishughulishe ili kujikwamua kiuchumi na kuepukana na ukatili wa kijinsia unaowakabili baadhi ya wanawake.

Hayo yamesemwa Jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP Lilian Lihundi wakati alipokuwa akizungumza na kituo hiki juu ya upingaji wa ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Amesema kuwa katika uchunguzi uliofanywa na mtandao huo umebaini kuwa kwa asilimia kubwa ukatili wa kijinsia unawakabili wanawake

ambao hawajawezeshwa kiuchumi hasa katika maeneo ya pembezoni mwa nchi.

Comments are closed.