WANAWAKE TARIME WADAI KULINDA MILA ZA MABABU RICHA YA KUTAMBUA MADHARA YA KUKEKETWA

WANAWAKE TARIME WADAI KULINDA MILA ZA MABABU RICHA YA KUTAMBUA MADHARA YA KUKEKETWA

Like
274
0
Thursday, 26 March 2015
Local News

WANAWAKE Wilayani Tarime Mkoani Mara,wamesema wamekuwa wakikubali kukeketwa kwa sababu ya kutimiza Mila za Mababu zao,ingawa wanatambua kuwa,vitendo hivyo vina madhara makubwa.

Pia,Wamesema kuwa huogopa kutengwa na familia na jamii inayowazunguka,ikiwa hawatakeketwa.

Kauli hiyo imetolewa na TEREZIA MALERO ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyamohanda Kata ya Mwema,wakati wa Mkutano wa Hadhara ulioandaliwa na Jukwaa la Utuwa Mtoto-CDF,kwa lengo la kuwajengea uwezo Wananchi,hususani, maeneo ya Vijijini,madhara ya Ukeketaji na Ndoa za Utotoni.

Comments are closed.