WANAWAKE WAANDAMANA WAKIWA WATUPU KATIKA KIJIJI KIMOJA UGANDA

WANAWAKE WAANDAMANA WAKIWA WATUPU KATIKA KIJIJI KIMOJA UGANDA

Like
328
0
Monday, 01 June 2015
Global News

WANAWAKE katika kijiji kimoja cha kazkazini mwa Uganda wamefanya maandamano wakiwa watupu kutokana na mgogoro wa ardhi kati ya utawala wa eneo hilo na jamii ambao umeendelea kipindi cha miaka 10 hadi sasa.

Maandamano hayo yanekuja kufuatia mawaziri wa serikali na watafiti kuweka mpango wa kukata kipande cha ardhi katika kijiji cha Apaa huko Amuru nchini humo.

Utawala wa wanyama pori nchini Uganda unaamini kwamba watu wanavamia ardhi ya uhifadhi wa wanyama pori huku wakazi wakidai kwamba ardhi hiyo ilikuwa ya mababu zao.

Comments are closed.