WAPIGANAJI WA KIKURDI WADHIBITI ENEO MUHIMU

WAPIGANAJI WA KIKURDI WADHIBITI ENEO MUHIMU

Like
244
0
Tuesday, 06 January 2015
Global News

WAPIGANAJI wa Kikurdi wamesonga mbele katika mji wa Kaskazini wa Syria wa Kobane na kudhibiti eneo muhimu lenye majengo ya Serikali baada ya mapigano na wanamgambo wa kundi la Dola la Kiislamu.

Kwa mujibu wa Afisa wa Mji wa Kobane IDRISS HASSAN na Shirika la Haki za Binadamu la Syria vikosi vya wakurdi wa Syria wameliteka eneo hilo la usalama kunakopatikana pia makao makuu ya Polisi.

Comments are closed.