WAPIGANAJI WA KIKURDI WAPELEKA KIKOSI IRAQ KUPAMBANA NA IS

WAPIGANAJI WA KIKURDI WAPELEKA KIKOSI IRAQ KUPAMBANA NA IS

Like
252
0
Friday, 19 December 2014
Global News

WAPIGANAJI wa Kikurdi wamesema wamepeleka kikosi Kaskazini mwa Iraq ili kupambana na wapiganaji wa kundi la Islamic State-IS.

Kikosi cha Wakurd elfu nane 8, kimeanzisha Mashambulizi endelevu kuvunja zuio katika Mlima Sinjar ili kuwakomboa maelfu ya watu ambao wamezuiwa huko na Kundi la Islamic State.

Operesheni hiyo imeanza Jumatano wiki hii kwa ushirikiano na vikosi vya Marekani na wafuasi wanaounga mkono harakati hizo.

 

Comments are closed.