WAPIGANAJI WA KIKURDI WAUTWAA MJI WA SINJAR

WAPIGANAJI WA KIKURDI WAUTWAA MJI WA SINJAR

Like
207
0
Friday, 13 November 2015
Global News

WAPIGANAJI wa Kikurdi wamefanikiwa kuingia mji wa Sinjar kaskazini mwa Iraq, siku moja baada yao kuanza kwa operesheni ya kuutwaa kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State.

Wakati hayo yakijiri, jeshi la Iraq limesema limeanzisha operesheni ya kuukomboa mji wa Ramadi magharibi mwa nchi hiyo ambao ulikuwa umetekwa na wapiganaji wa IS.

Hata hivyo hatua ya Kuukomboa mji wa Sinjar kutaziba mawasiliano kati ya ngome mbili za IS Raqqa na Mosul.

 

Comments are closed.