WASHUKIWA WA UGAIDI WASAKWA MOMBASA

WASHUKIWA WA UGAIDI WASAKWA MOMBASA

Like
239
0
Tuesday, 05 January 2016
Global News

MAAFISA wa usalama nchini Kenya wanawasaka washukiwa wanne wa ugaidi ambao wanadaiwa kukwepa msako wa polisi katika nyumba moja Mombasa.

 

Polisi walipata bunduki mbili na vilipuzi baada ya kuvamia nyumba iliyokuwa ikitumiwa na wanne hao Jumatatu.

 

Kamishna wa jimbo la Mombasa Nelson Marwa anasema bunduki moja iliyopatikana ilitumiwa kumuua afisa wa polisi mjini humo mwaka uliopita.

Comments are closed.