WATANZANIA MILIONI 10 HUTUMIA MTANDAO KATIKA SHUGHULI MBALIMBALI

WATANZANIA MILIONI 10 HUTUMIA MTANDAO KATIKA SHUGHULI MBALIMBALI

Like
195
0
Wednesday, 29 July 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa watanzania takribani milion kumi wanatumia huduma za mtandao katika shughuli zao mbalimbali.
Akizungumza wakati wa mkutano wa wadau na watumiaji wa mkongo wa taifa  naibu Katibu mkuu kutoka Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia CELINA LYIMO amesema kuwa mbali na kuwa idadi  hiyo wizara hiyo inakusudia kupunguza gharama  za watumiaji  wa mitandao ili watanzania wengi waweze kutumia  huduma hiyo.

Comments are closed.