WATANZANIA WAFUNGWA MIDOMO NA UMRI WA MISS TANZANIA

WATANZANIA WAFUNGWA MIDOMO NA UMRI WA MISS TANZANIA

Like
468
0
Wednesday, 22 October 2014
Entertanment

kufuatia tuhuma mbalimbali juu ya mshindi wa shindano la Miss Tanzania kwamba hakustahili kupata taji hilo na kuwepo kwa taarifa zenye kuchanganya kuhusu umri wa mlimbwende huyo Sitti Mtemvu, jana kamati ya Miss Tanzania ilifanya kikao ikiwa pamoja na kujadili na waandishi wa habari ili kuweka mambo sawa kwa kutoa vielelezo vyao.

hata hivyo hali ya Sintofahamu bado imeendelea kuwepo kwenye baadhi ya vichwa vya watu kupitia mitandao ya kijamii na sehemu nyinginezo kufuatia baadhi ya majibu ya Mrembo huyo wakati akihojiwa kuhusu skendo zinazomkabili ikiwemo ya kuwa na mtoto.

IFUATAYO NI INTERVIEW KATI YA WAANDISHI WA HABARI NA SITTI MTEMVU, MAMA MZAZI WA SITTI PAMOJA NA HASHIM LUNDENGA WAKITOA UFAFANUZI

Sitti

MAMA SITTI

LUNDENGA

IMG_6522

IMG_6524

IMG_6541

Comments are closed.