WATANZANIA WAMEAMUA KUWEKA SILAHA CHINI NA KUIUNGA MKONO TAIFA STARS

WATANZANIA WAMEAMUA KUWEKA SILAHA CHINI NA KUIUNGA MKONO TAIFA STARS

Like
334
0
Monday, 07 September 2015
Slider

Kikosi imara kabisa cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars siku ya jumamosi kilishuka dimbani katika uwanja wa taifa wa Daresalaam kukipiga na timu ya taifa ya Nigeria maarufu kama Super Eagle

Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bila kufungana huku stars ikionyesha kiwango cha juu kabisa cha uchezaji

MATUKIO KATIKA PICHA

Mashabiki wa Stars Supporters wakisherehekea timu yetu kuipa hamasa

?????????? ?????????? ?????????? ?????????? ?????????? ?????????? ?????????? ?????????? ?????????? ?????????? ?????????? 20150905_130512 20150905_130521 20150905_182232 20150905_182334 20150905_182251 20150905_182250 20150905_182237

Comments are closed.