WATANZANIA WAMEOMBWA KUTUNZA MIRADI YA MAENDELEO

WATANZANIA WAMEOMBWA KUTUNZA MIRADI YA MAENDELEO

Like
233
0
Thursday, 28 May 2015
Local News

WATANZANIA  wameombwa kutunza miradi mbalimbali ya mandeleo inayoletwa na Serikali kwa kushirikiana na wadau na wananchi wenyewe.

Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Juma Chumu alipokuwa akizindua miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya ya Ilala yenye gharama ya  shilingi bilioni 14.

Aidha amewataka watanzania kuepuka kutumiwa na wanasiasa ili kusababisha uvunjifu wa amani katika uchaguzi mkuu  wa mwezi Oktoba mwaka huu.

Comments are closed.