WATANZANIA WAMETAKIWA KUENDELEZA MILA NA DESTURI ZA MWALIM NYERERE

WATANZANIA WAMETAKIWA KUENDELEZA MILA NA DESTURI ZA MWALIM NYERERE

Like
252
0
Thursday, 15 October 2015
Local News

MMOJA wa Viongozi Wakuu wa kiroho wa waislam Dhehebu la shia Ithnasheriya Tanzania SHEIKH HEMED JALALA amewataka watanzania  kuendeleza mila na desturi za kistaarabu alizoziacha mwasisi wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere  hasa katika kipindi hiki cha chaguzi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dare s  salaam katika kumbukumbu ya mwaka mpya wa 1,437 H wa kiislamu amesema mwaka uliopita ulimwengu wa kiisalamu ulikumbana na changamoto nyingi  hivyo kwa mwaka huu mpya ipo haja ya kujifunza na kujirekebisha kutokana na changamoto hizo.

Comments are closed.