WATANZANIA WASHAURIWA KUPIGA VITA BIDHAA FEKI

WATANZANIA WASHAURIWA KUPIGA VITA BIDHAA FEKI

Like
253
0
Friday, 02 January 2015
Local News

WATANZANIA wameshauriwa kupiga vita matumizi ya bidhaa Feki na badala yake watumie bidhaa zenye ubora ili kudhibiti wasambazaji wa bidhaa hizo nchini.

Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Afisa mawasiliano wa Shirika la viwango Tanzania –TBS ROIDA ANDUSAMILE wakati akizungumza na EFM kuhusu mikakati ya kuhakikisha masoko yote nchini yanakuwa na bidhaa bora.

 

Comments are closed.