WATANZANIA WASHAURIWA KUTOTEGEMEA ZAIDI UGUNDUZI WA MAFUTA NA GESI

WATANZANIA WASHAURIWA KUTOTEGEMEA ZAIDI UGUNDUZI WA MAFUTA NA GESI

Like
362
0
Thursday, 23 October 2014
Local News

WATANZANIA wameshauriwa kutotegemea zaidi ugunduzi wa mafuta na gesi kuwa ndio njia pekee ya kutatua matatizo ya kiuchumi nchini.

Akizungumza na wadau mbalimbali jijini Dar es salaam kwenye kongamano la kufunga maonesho ya tatu ya mafuta na gesi asilia Naibu Waziri wa Nishati na Madini mheshimiwa STEVEN MASELE amesema kuwa wananchi wanatakiwa kutumia fursa hiyo kama njia moja wapo ya kuinua vyanzo vingine vya uchumi  MASELE

Aidha Mheshimiwa MASELE amebainisha kuwa Serikali imeandaa mkakati wa kufungua mfuko utakaotumika kuifadhi mapato yatakayopatikana na sekta hiyo kwa ajili ya kuendeleza sekta zingine muhimu…. MASELE…

 

Comments are closed.