WATANZANIA WATAKIWA KUTOYUMBISHWA NA MISIMAMO  YA WANASIASA

WATANZANIA WATAKIWA KUTOYUMBISHWA NA MISIMAMO YA WANASIASA

Like
335
0
Friday, 15 May 2015
Local News

WATANZANIA wametakiwa kutoyumbishwa na misimamo mbalimbali ya viongozi wa kisiasa na badala yake waendelee kuwa na imani na serikali yao kwakuwa imejidhatiti katika kusimamia maslahi ya Taifa.

Hayo yamesemwa leo Bungeni mjini Dodoma na Mbunge wa jimbo la Sengerema mheshimiwa WILLIAM NGELEJA wakati akichangia hoja ya Bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu na kusema kuwa serikali imedhamiria kuboresha mipango mbalimbali itakayosaidia kuleta maslahi kwa kila mtu.

Comments are closed.