WATANZANIA WATAKIWA KUZIDISHA MSHIKAMANO NA UMOJA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

WATANZANIA WATAKIWA KUZIDISHA MSHIKAMANO NA UMOJA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Like
214
0
Thursday, 16 July 2015
Local News

WAUMINI wa Dini  ya  Kiislamu pamoja  na Watanzania kwa ujumla wametakiwa kuzidisha  mshikamano na umoja  hasa katika  kipindi  hiki  ambacho  nchi  inaelekea kwenye uchaguzi mkuu.

 

Hayo yamesemwa  Jijini  Dar es salaam na  Sheikh  Mkuu wa Mkoa huo ALHAD MUSSA SALIM alipo kuwa anatoa  mwaliko wa kuswali pamoja  swala ya idd el fitr kwa  waumini wa dini hiyo katika viwanya vya mnazi mmoja  ambayo itategemea na kuandama  kwa mwezi kati ya tarehe 17 au 18.

 

Alhad  amesema kuwa sikukuu hiyo ni siku ya kutoa  zakatul fitr kabla ya swala  ya idd kuswaliwa  kwa kuwakumbuka   mayatima , wajane , mafakiri na  maskini na kuwapa misaada mbalimbali.

Comments are closed.