WATOTO 10 WAUAWA KATIKA MLIPUKO AFGHANISTAN

WATOTO 10 WAUAWA KATIKA MLIPUKO AFGHANISTAN

Like
138
0
Tuesday, 25 August 2015
Global News

IMEELEZWA kuwa Mlipuko mkubwa uliotokea nje ya kituo cha kusambazia gesi katika mji wa Herat nchini Afghanistan, umesababisha vifo vya watoto kumi na mtu na kumjeruhi mmoja.

Msemaji wa hospitali mojawapo karibu na eneo hilo amesema kwamba watu wengine 18 wamejeruhiwa katika eneo palipotokea mlipuko ambalo hutumika kama kambi ya wakimbizi.

Sanjari na hayo baadhi ya picha katika mitandao ya kijamii bado zinaonesha uwepo wa miale ya moto angani ingawa haijabainika iwapo mlipuko huo ulikuwa ajali au shambulizi.

 

Comments are closed.