WATU 9 WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA NYUMBA KUTEKETEA KWA MOTO

WATU 9 WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA NYUMBA KUTEKETEA KWA MOTO

Like
520
0
Thursday, 27 August 2015
Local News

WATU tisa wa familia moja wamefariki dunia kwa kuteketea na moto baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi iliyoko maeneo ya Buguruni Malapa kuteketea  kwa moto na kusababisha vifo vyao papo hapo

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa mtaa wa Malapa KARIMU MAHMUDU amesema kuwa moto huo ulianza majira ya saa tisa ndani ya nyumba hiyo na kusababisha vifo vya watu tisa ikiwemo watoto wanne ambao walijulikana kwa majina ya AHMEDI, ABDULLAH, AISHA, ASHRAFU, Mama wa watoto hao aliyejulikana kwa jina la SAMIRA na ndugu wengine wanne.

BUG2

Comments are closed.