WATU KADHAA WAMENUSURIKA KIFO BAADA DALADALA KUPINDUKA

WATU KADHAA WAMENUSURIKA KIFO BAADA DALADALA KUPINDUKA

Like
578
0
Thursday, 08 January 2015
Local News

WATU kadhaa wamenusulika kifo kutokana na ajali ya daladala lenye lenye namba za usajili T 702 AJG inayofanya safari kutoka Temeke kwenda Kawe iliyotokea mapema Asubuhi hii karibu na eneo la mzunguko wa barabara ya zamani ya Bagamoyo jijini Dar es salaam.

Akizungumza muda mfupi mara baada ya kutokea kwa ajali hiyo SAJENT ERNEST kutoka kikosi cha usalama Barabarani Kawe amesema kuwa ajali hiyo kwa kiasi kikubwa imesababishwa na uzembe wa dereva kwa kuwa hakuwa makini wakati akipishana na gari jingine hali iliyosababisha gari kuacha njia na kutumbukia kwenye mtaro

WP_20150108_08_57_49_Raw WP_20150108_08_58_45_Raw WP_20150108_08_58_54_Raw

Comments are closed.