Watu zaidi ya 50 wamepoteza maisha kutokana na maporomoko ya ardhi na mamia kutojulikana walipo

Watu zaidi ya 50 wamepoteza maisha kutokana na maporomoko ya ardhi na mamia kutojulikana walipo

Like
477
0
Sunday, 14 October 2018
Global News

Waziri Mkuu wa Uganda, Ruhakana Rugunda amefika katika eneo la Naposho, sehemu ambayo watu na makazi yaliangamia kutokana na maporomoko ya ardhi

na kuhaidi kuwa serikali itawapatia fedha familia zilizopoteza watu wao na kutoa misaada ya vyakula kwa watu wote wa wilaya ya Bududa.

Mama na watoto wake 7 wakipewa misaada ya vyakula kutoka ofisi ya mwaziri mkuu wa Uganda.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *