WATUHUMIWA WA MAUAJI YA WANAWAKE KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI WAFIKISHWA MAHAKAMANI

WATUHUMIWA WA MAUAJI YA WANAWAKE KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Like
323
0
Thursday, 08 January 2015
Global News

WATUHUMIWA wawili wanaodaiwa kuwaua Wanawake katika nyumba za Kulala wageni wamepandishwa Kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

ABUBAKARY KASANGA anayeishi katika nyumba ya Kulala wageni na EZEKIEL KASENEGELA mkazi wa Tandika jijini Dar es salaam wamefikishwa Mahakamani.

Washtakiwa hao wamefikishwa Mahakamani hapo wakikabiliwa na kesi mbili za mauaji huku moja ikiwahusisha wote ambazo zimesomwa mbele ya Mahakimu tofauti.

Comments are closed.