WATUMISHI WA SERIKALI WAASWA KUWA NA NIDHAMU YA MATUMIZI YA RASILIMALI FEDHA

WATUMISHI WA SERIKALI WAASWA KUWA NA NIDHAMU YA MATUMIZI YA RASILIMALI FEDHA

Like
280
0
Tuesday, 11 August 2015
Local News

WATUMISHI wa Serikali wameaswa kuwa na nidhamu ya matumizi bora ya rasilimali fedha ili kuleta ufanisi na maendeleo endelevu kwa manufaa ya wananchi.\

 

Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha dokta Servacius Likwelile alipokuwa akiongea na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya wafanyakazi wa Hazina Ndogo mkoani Lindi .

 

Dokta Likwelile amesema kuwa Serikali inafanya mapitio ya Mkakati wa Kupunguza Umasikini Tanzania –MKUKUTA- na kuhakikisha kuwa changamoto zilizokuwepo awali zinapatiwa ufumbuzi ili kuleta tija na ufanisi.

Comments are closed.