WATUMISHI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAASWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

WATUMISHI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAASWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

Like
197
0
Tuesday, 29 December 2015
Local News

WATUMISHI Wizara ya Fedha na Mipango wameaswa kufanya kazi kwa weledi na kuwekeza nguvu zaidi katika ukusanyaji mapato ili kukuza uchumi wa nchi na kuifanya nchi iwe kitovu cha uchumi Barani Afrika.

 

Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa. Dokta. Philip Mpango alipokuwa akiongea na watendaji wa Wizara hiyo.

 

Katika mazungumzo yake na watendaji hao,  Dokta. Mpango, aliuagiza uongozi wa Wizara yake kuunda  na kusimamia sera za mfumo wa ukusanyaji  kodi ambao utabaki kuwa rafiki kwa wafanyabiashara ili kukuza biashara na uwekezaji nchini.

Comments are closed.