WAUMINI NCHINI WAASWA KULINDA AMANI

WAUMINI NCHINI WAASWA KULINDA AMANI

Like
263
0
Monday, 25 January 2016
Local News

WAUMINI wa dini zote nchini wameaswa kutojihusisha na vitendo vya kupeana majina mabaya yanayo hamasisha vurugu au uvunjifu wa amani.

Wito huo umetolewa Jijini Dar es salaam na Mmoja wa Viongozi wa Kuu wa kiroho wa Waislamu Dhehebu la Shia Ithina Sheria Tanznia Sheikh Hemed Jalala alipokuwa akizungumza kwenye semina ya kujadili changamoto zinazo wakabili umma wa kiislamu nchini na duniani kwa ujumla.

Sheikh JALALA amebainisha kuwa kuitana majina hayo ndio chanzo kikubwa cha kuibuka kwa vitendo vya kigaidi vinavyo sababisha binadamu kwa binadamu kuuana.

Comments are closed.