WAZAZI WATATUA TATIZO LA UKOSEFU WA MATUNDU YA VYOO SHULENI IRINGA

WAZAZI WATATUA TATIZO LA UKOSEFU WA MATUNDU YA VYOO SHULENI IRINGA

Like
261
0
Monday, 13 July 2015
Local News

WAZAZI wa wanafunzi wanaosoma shule za msingi Mgongo na Kigonzile, Kata ya Nduli manispaa ya Iringa wamefanikiwa kutatua tatizo la ukosefu wa matundu ya vyoo lililokuwa linawasumbua kwa kipindi kirefu.

 

Wakizungumza na kituo hiki wazazi hao wamesema kwa kipindi kirefu shule hizo zilikuwa zikikabiliwa na uhaba mkubwa wa matundu ya vyoo jambo ambalo lingeweza kusababisha magonjwa ya mliuko.

 

Naye diwani wa kata hiyo Bashir Mtove amesema kutokana na tatizo hilo kukithiri shuleni hapo mikakati mbalimbali imetumika ikiwemo kuwashirikisha wazazi ili kukabiliana na tattizo hilo.

Comments are closed.