WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA TANK WA WADAU WA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII

WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA TANK WA WADAU WA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII

Like
233
0
Tuesday, 02 June 2015
Local News

WAZIRI mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa MIZENGO PINDA asubuhi hii anafungua mkutano wa tank wa wadau wa mfuko wa hifadhi ya jamii-NSSF.

Mkutano huo unaofanyika kwa siku tatu mjini Arusha umewakutanisha wadau wote wa mfuko huo ili kuangalia changamoto mbalimbali zinazoikabili-NSSF-pamoja na mafanikio yake.

Hata hivyo mkutano huo utasaidia kwa kiasi kikubwa mfuko huo kuweka mikakati bora itakayoimarisha utendaji wao wa kazi ili kuleta manufaa kwa jamii.

Comments are closed.