WAZIRI MKUU WA UGIRIKI AJIUZULU

WAZIRI MKUU WA UGIRIKI AJIUZULU

Like
259
0
Friday, 21 August 2015
Global News

WAZIRI MKUU wa Ugiriki Alexis Tsipras amejiuzulu na  kuitisha  uchaguzi  ufanyike mapema.

Hatua  hiyo  inaonekana  kuwa  juhudi  za  kuzima uasi  ndani  ya chama  chake cha  Syriza na  kuimarisha  uungwaji  wake  mkono  wa mpango wa  tatu  wa  uokozi  wa  uchumi  wa  nchi  hiyo  inayokabiliwa  na madeni, ikiwa  ni  hatua  ya  kwanza  ambayo  imeidhinishwa  na  mawaziri  wa fedha  wa  mataifa  ya  kanda  ya  euro wiki hii.

 

Comments are closed.