WAZIRI MKUU WA UKRAINE AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA WA UJERUMANI

WAZIRI MKUU WA UKRAINE AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA WA UJERUMANI

Like
312
0
Thursday, 02 April 2015
Global News

Waziri Mkuu wa Ukraine ARSENIY YATSENYUK amefanya mazungumzo na Kansela wa Ujerumani ANGELA MERKEL.

Baada ya mazungumzo hayo MERKEL amesema makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya serikali ya Ukraine na waasi wanaoegemea upande wa Urusi yameleta utulivu mashariki mwa Ukraine, na kuongeza kuwa makubaliano hayo hayajatekelezwa kikamilifu.

Kansela MERKEL amesema uondoaji wa Silaha nzito haujafanyika kama inavyotakiwa.

Comments are closed.