WAZIRI NAPE AKANUSHA KATAZO RASMI LA MAVAZI YA NGUO FUPI

WAZIRI NAPE AKANUSHA KATAZO RASMI LA MAVAZI YA NGUO FUPI

Like
355
0
Monday, 28 December 2015
Local News

WAZIRI wa wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye amekanusha taarifa ambazo kwa takribani siku mbili zilizopita zilienea juu ya katazo rasmi la mavazi ya nguo fupi ambalo ilisemekana limetolewa na Wizara hiyo.
Akizungumza na EFM kwa njia ya simu, Mheshimiwa Nnauye amesema  Wizara imesikitishwa na Taarifa hizo na kwamba sheria zinazosimamia makosa ya kimtandao ziko wazi, hivyo anaamini mamlaka zinazohusika zitatekeleza wajibu wake.

Comments are closed.