WAZIRI NYALANDU AWAKARIBISHA WATALII KUTOKA SAUDI ARABIA KUWEKEZA NCHINI

WAZIRI NYALANDU AWAKARIBISHA WATALII KUTOKA SAUDI ARABIA KUWEKEZA NCHINI

Like
312
0
Thursday, 15 January 2015
Local News

 

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa LAZARO NYALANDU amewakaribisha wafanyabiashara kutoka Saudi Arabia kuwekeza katika sekta ya Utalii nchini ambayo ina fursa nyingi za uwekezaji.

Mheshimiwa NYALANDU ametoa wito huo kufuatia mazungumzo yake na Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara ya Saudi Arabia Dokta ABDULRAHMAN AL-ZAMIL yaliyofanyika Riyadh, Saudi Arabia.

Comments are closed.