WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AKEMEA WAZAZI WANAOKATISHA WATOTO MASOMO

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AKEMEA WAZAZI WANAOKATISHA WATOTO MASOMO

Like
276
0
Monday, 09 March 2015
Local News

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mheshimiwa ANNE KILANGO MALECELA, amekemea Wazazi wilayani Bagamoyo ambao wanakatisha watoto wao masomo, kwa kisingizio cha kukosa Ada, na badala yake hutumia gharama kubwa kuwafanyia watoto Ngoma za Kimila.

Aidha amekemea Familia zinazoombea watoto wao wafeli katika Mitihani yao, ili kuepuka gharama za kusomesha.

Mheshimiwa KILANGO ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wazazi, walezi, walimu, wanafunzi, wananchi na Viongozi mbalimbali katika mafahali ya saba ya kidato cha sita katika shule ya sekondari Lugoba,wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Comments are closed.