WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AZINDUA RASMI MKAKATI WA KUPAMBANA NA MAJANGILI

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AZINDUA RASMI MKAKATI WA KUPAMBANA NA MAJANGILI

Like
471
0
Friday, 31 October 2014
Local News

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa LAZARO NYALANDU amezindua rasmi Mkakati wa Taifa wa Kupambana na Ujangili dhidi ya Wanyama pori na bihashara haramu ya meno ya Tembo nchini.

Akizungamza na wadau mbalimbali Jijini Dar es Salaam NYALANDU amesema kuwa Mamlaka ya Wanyama Pori imepewa jukumu la kusimamia shughuli zote za uhifadhi wanyama kwa asilimia 90 sawa na kilomita za mraba laki moja na elfu sabini.

NYALANDU

 

 

Comments are closed.