WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI LINDI NA MTWARA

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI LINDI NA MTWARA

Like
1088
0
Wednesday, 18 February 2015
Local News

WAZIRI wa Nishati na Madini,mheshimiwa  GEORGE SIMBACHAWENE amefanya ziara mkoani Lindi na Mtwara mwanzoni mwa wiki kukagua miradi mbalimbali iliyo chini ya Wizara yake ambapo ameahidi huduma za umeme na Maji kwa wananchi mbalimbali.

Akiwa Madimba mkoani Mtwara, baada ya kupokea taarifa ya Maendeleo ya Ujenzi wa Mtambo wa kuchakata gesi, Waziri SIMBACHAWENE amemwagiza Msimamizi Mkuu wa Mradi wa Bomba la gesi, Mhandisi KAPUULYA MUSOMBA kutoa huduma ya Maji Safi kwa Wananchi wanaozunguka maeneo hayo.

chaw1 chaw2 chaw5

Comments are closed.