WENGER AMWAGIA SIFA OLIVIER GIROUD

WENGER AMWAGIA SIFA OLIVIER GIROUD

Like
293
0
Monday, 02 March 2015
Slider

Arsene Wenger amemmwagia sifa za kutosha Olivier Giroud’s kuwa na uwezo mkubwa kiakili na kusisitiza kuwa hakudhamiria kumpumzisha mshambuliaji huyo

Giroud amekuwa benchi baada ya kukosa nafasi kadhaa za kushinda magoli kwenye michuano ya klabu bingwa barani Ulaya na kupokea kichapo cha 3-1 walipokutana na Monaco.

Meneja huyo wa Arsenal bado anaimani ya kutosha kwa mshambuliaji huyo kufuatia ushindi wa magoli ya 2-0 dhidi ya Everton kwenye uwanja wao wa nyumbani huko Emirates ambapo Giroud kuziona nyavu na kuandika goli la kwanza

Wenger alienda mbali Zaidi na kueleza uwezo wa mchezaji huyo na umuhimu wa uwepo wake kwenye klabu hiyo kufuatia uwezo wake wa kubadilika

Comments are closed.