WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WATAKIWA KUWATENDEA HAKI WANANCHI

WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WATAKIWA KUWATENDEA HAKI WANANCHI

Like
267
0
Tuesday, 30 December 2014
Local News

WENYEVITI wa Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kuwatendea Haki Wananchi ambao wamewachagua na kuwaepuka baadhi ya Watendaji ambao wamekuwa wakiwarubuni na kushindwa kuwatendea Haki Wananchi.

Akizungumza katika mkutano wa kuwashukuru wapiga kura wa Kata ya Sandali Wilayani Temeke jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa Wazazi Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi-CCM ABDALLAH BULEMBO amesema imebainika kuwa watendaji wengi wamekuwa ni kikwazo kwa Wenyeviti hali inayopelekea kushindwa kufanya kazi kwa Haki.

Comments are closed.