WILL SMITH AKANA KUACHANA NA MKEWE

WILL SMITH AKANA KUACHANA NA MKEWE

Like
270
0
Tuesday, 04 August 2015
Entertanment

Will smith amekana uvumi uliosambaa kuwa ametalikiana na mkewe Jada

Baada ya taarifa hizo kusambaa kwenye mitandao muigizaji huyu alitumia akaunti ya facebook kufunguka juu ya ukweli wa mambo.

Katika post hiyo Will alisema hana muda wa kujibu upuuzi huo kwa sababu akifanya hivyo ataongeza kasi ya uvumi.

Lakini mwishoe star huyu aliamua kusema ukweli kuwa hajaachana na mkewe na hana mpango huo na iwapo itatokea wameachana basi yeye mwenyewe atatoa taarifa hiyo kwa usahihi

Comments are closed.