WILLY PAUL AMPA KICHAPO MPENZI WAKE

WILLY PAUL AMPA KICHAPO MPENZI WAKE

Like
614
0
Wednesday, 24 December 2014
Entertanment

Inajulikana kwamba Willy Paul anampenda sana Rihanna kutokana na kwamba wimbo aliouchia hivi karibuni ulitokana na wimbo Rihanna “Rehab”, lakini haikujulikana kama anafanana tabia na Chris Brown.

Girlfriend wa Willy Paulo super gorgeous Michelle hivi karibuni alilalamikia tabia ya Willy Paul ya kumpiga na kumkaba.

michelle_willy Michelle_Dye
Akitoa taarifa hiyo anasema “Willy Paul amekuwa akimfanyia vurugu mara kadhaa. Mara ya kwanza alimkaba na kumsababishia michubuko upande wa kushoto ya shingo. Hii ni kwa sababu alitaka simu yake na michelle hakuridhia kumpa. ”

Lakini mara nyingine alimfata kazini na kusababisha vurugu katika eneo lake la kazi ambapo mbele ya wafanyi kazi wenzie paul alimpiga ngumi za tumbo na kumsababishia maumivu makali zaidi

Michele amesema yeye alishamsamehe kwa hayo na ndio maana hana muda wa mahusiano naye tena kiasi wakati huu yuko na majukumumengi mngine hasa ikizingatiwa ni mama wa mtoto mmoja ambaye anamlea kwa sasa.

Comments are closed.