WITO UMETOLEWA KWA WATANZANIA KULINDA AMANI YA NCHI

WITO UMETOLEWA KWA WATANZANIA KULINDA AMANI YA NCHI

Like
216
0
Friday, 18 December 2015
Local News

WITO umetolewa kwa Watanzania kuungana kwa pamoja na kufuata mafundisho yanayo jenga amani katika nchi na  kuacha mafundisho ambayo yana weza kuleta mfalakano ili kuilinda amani ya nchi iliyopo.

Wito huo umetolewa  Jijini Dar es salaam na Mkuu wa Usalama wa jeshi la wananchi wa Tanzania -JWTZ Meja Jenerali VENANCE MABEYO  wakati wa  uzinduzi wa utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali ya TWAWEZA  ambao ulilenga kuangalia matukio ya kiitikadi ambapo amesema kuwa  sababu kubwa  inayo sababisha vitendo hivyo kuwepo katika jamii  ni vijana wengi kutokuwa na ajira na badala yake wanajikuta wakijiunga kwenye vikundi vya uhalifu.

 

Comments are closed.