WIVU WA KIMAPENZI WASABABISHA MAUAJI

WIVU WA KIMAPENZI WASABABISHA MAUAJI

Like
400
0
Monday, 22 December 2014
Local News

WATU WAWILI wamefariki dunia akiwemo raia wa Kenya SUZAN BHOKE baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani na mpenzi wake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tarime Rorya LAZARO MAMBOSASA amesema SUZAN amefariki dunia baada ya kupigwa na kitu kizito na anayedaiwa kuwa mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la EDDY CLEMENT.

Kamanda MAMBOSASA amebainisha chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi na kwamba CLEMENT anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauaji hayo

Comments are closed.