WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA IMELIOMBA BUNGE KUIDHINISHA  ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 154

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA IMELIOMBA BUNGE KUIDHINISHA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 154

Like
218
0
Friday, 29 May 2015
Local News

WIZARA ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa imeliomba Bunge kuidhinisha zaidi ya shilingi bilioni 154 kwaajili ya kuwezesha utekelezaji wa masuala mbalimbali muhimu ya wizara kwa kipindi cha mwaka 2015 na 2016.

Akiwasilisha rasmi Bungeni makadilio na matumizi ya wizara, Waziri wa wizara hiyo BERNARD MEMBE amesema kuwa fedha hizo zitasaidia kwa kiasi kikubwa kuboresha shughuli za wizara ikiwemo kuwezesha kushiriki kikamilifu katika mikutano ya kimataifa ili kuimarisha uhusiano kwa nchi za nje.

Comments are closed.