WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA YASAINI MKATABA NA SERIKALI YA INDIA

WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA YASAINI MKATABA NA SERIKALI YA INDIA

Like
283
0
Wednesday, 08 October 2014
Local News

Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia imetiliana saini Mkataba na Serikali ya India kusaidiwa Ujenzi wa Kituo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano-TEHAMA kwenye kituo cha Sayansi na Teknolojia cha NELSON MANDELA mkoani.

Akizungumza mara baada ya kusaidi makubaliano hayo Waziri wa Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia Profesa MAKAME MBARAWA

Lakini pia Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imesaini mkataba wa kutathmini utendaji wa kazi na bodi ya Mamlaka ya Mawasilianonchi-TCRA ili kuboresha utendaji wa kazi wa mamlaka zote zilizopo chini ya wizara hiyo.

Akizungumza wakati wa kusaini mkataba huo Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa MAKAME MBARAWA amesema kuwa ni wakati muafaka kwa Wizara hiyo kutumia mfumo huo hali itakayosaidia utoaji wa tathmini ya utendaji kila baada ya miezi 3

 

Comments are closed.