YANGA SC KUIVAA RAYON SPORT BILA MASTAA WAKE

YANGA SC KUIVAA RAYON SPORT BILA MASTAA WAKE

1
964
0
Wednesday, 16 May 2018
Sports

Timu ya Yanga leo majira ya saa moja usiku kitashuka dimbani kwenye uwanja wa Taifa kuumana na Rayon Sport ya Rwanda katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, bila wachezaji wake nyota ambao ni Amis Tambwe bado hajaimarika vizuri kiafya, Donald Ngoma, Beno Kakolanya ambaye alijitonesha goti lake katika mechi ya ligi dhidi ya Tanzania Prisons, Ibrahim Ajibu aliye na matatizo ya kifamilia, na Papy Kambamba Tshishimbi aliyesafiri kurejea kwao kutokana na matatizo ya kiafya kwa ajili ya matibabu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *