YANGA YAKATA RUFAA KUPINGA STAND UNITED KUMTUMIA MCHEZAJI FRANK IGOBELA

YANGA YAKATA RUFAA KUPINGA STAND UNITED KUMTUMIA MCHEZAJI FRANK IGOBELA

Like
410
0
Wednesday, 28 September 2016
Slider

Yanga yapeleka barua TFF ikiwa na lengo la kukata rufaa kupinga klabu ya Stand United kumtumia mchezaji Frank Igobela kwenye mchezo wa ligi kuu uliomalizika kwa Yanga kupokea kichapo cha 1-0 kutoka Stand United, katika barua hiyo Yanga imeeleza kuwa Frank Igobela ni mchezaji halali wa Polisi ya Zanzibar.

Comments are closed.