YANGA YASHINDWA KUITAMBIA BEJAIYA

YANGA YASHINDWA KUITAMBIA BEJAIYA

Like
319
0
Monday, 20 June 2016
Slider

Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, Yanga ya Jangwani usiku wa kuamkia leo walikumbana na kibano cha bao moja chungu kutoka kwa Bejaiya ya Algeria.

Yanga watalazimika kuzikata kilomita 6120 kurejea nyumbani Tanzania kabla ya kujipanga kukutana na Kisiki kingine TP Mazembe ya DRC.

Comments are closed.