YEMEN: KAMBI KUBWA YA WAASI WA HOUTHI YASAMBARATISHWA

YEMEN: KAMBI KUBWA YA WAASI WA HOUTHI YASAMBARATISHWA

Like
201
0
Tuesday, 04 August 2015
Global News

IMEBAINIKA kwamba vikosi vinavyounga mkono serikali nchini Yemen vimechukua kambi kubwa ya wanaanga katika makabiliano na waasi wa Houthi.

Uharibifu mkubwa pamoja na majeraha yameripotiwa katika kambi ya jeshi ya Al-Anad kaskazini mwa mji wa Aden baada ya mapigano makali yaliofanyika katika siku za hivi karibuni.

Hatua hiyo imekuja baada ya vikosi vinavyoiunga mkono serikali vikisaidiwa na mshambulizi ya angani ya muungano unaoongozwa na Saudia kuchukua mji wa Aden mwezi Julai.

Comments are closed.