YEMEN: WAASI WA HOUTHI WARIPUA KITUO CHA KUSAFISHIA MAFUTA

YEMEN: WAASI WA HOUTHI WARIPUA KITUO CHA KUSAFISHIA MAFUTA

Like
173
0
Thursday, 16 July 2015
Global News

WAKATI huo huo ripoti zinasema waasi wa Houthi wamekiripua kituo cha kusafishia mafuta katika bandari ya Aden leo mchana.

Mashahidi wanasema moshi mzito umetanda na wakaazi wa eneo hilo wameanza kuhamishwa.

Kituo hicho cha kusafishia mafuta kilikuwa na shehena ya tani milioni moja na laki mbili ya mafuta ghafi pamoja na mapipa kadhaa ya gesi.

 

Comments are closed.